• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Rungwe District Council
Rungwe District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa naSerikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, U mwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Usafishaji na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Tehama na Mahusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Utunzaji Nyuki
  • Uwekezaji
    • Uzalishaji wa Maziwa
    • Kiwanda Cha Matunda
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma
    • Maji
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Ardhi na Maliasili
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
      • Mikutano ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
    • Katiba Pendekezwa
    • Mihutasari
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Matukio
    • Habari
    • Makala

Land and Natural Resouces

Majukumu ya Idara ya Ardhi na Maliasili.

  • Kuhamasisha upandaji wa miti ikiwa ni hatua ya kukabiliana na changamoto ya mabadiliko ya tabia nchi na kuboresha vyanzo vya maji. Miti inayooteshwa katika eneo la Ofisi Makao Makuu hutolewa kwa wananchi bure kwa ajili ya kupanda katika makazi na mashamba yao.
  • Kusimamia na kulinda vyanzo vya maji kwa kutoa elimu kwa wananchi juu ya uhifadhi wa vyanzo vya maji.
  • Kuainisha vyanzo vya maji vilivyopo ndani ya Halmashauri na kuweka mikakati ya kuviboresha vyanzo vilivyovamiwa kwa shughuli za kibinadamu. Katika vyanzo hivyo vilivyoharibika ipandwe miti rafiki na maji ikiwa ni juhudi za kuviboresha ili virudi katika hali yake ya awali.
  • Kupanga na kupima maeneo yanayoiva kwa maendeleo, kuandaa mipango ya urasimishaji makazi katika maeneo yaliyokuwa kiholela.
  • Kuandaa mipango ya matumizi bora ya ardhi mijini na vijijini.
  • Kupokea na kuweka kumbukumbu za maombi ya mabadiliko ya matumizi Ardhi na umegaji wa viwanja.
  • Kukusanya taarifa za utafiti na mwenendo wa soko la Ardhi.
  • Kufanya uthaminishaji wa mali za serikali na watu binafsi kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu kusimamia.
  • Kusuluhisha migogoro ya ardhi, kutafsiri na kusimamia sheria za Ardhi na Mipango miji.
  • Kusimamia uhifadhi wa mazingira pamoja na kusimamia matumizi endelevu ya rasilimali maji, misitu, na wanyamapori kwa ajili ya faida ya kizazi cha sasa na kizazi kijacho.
  • Pia sekta hii ipo katika mstari wa mbele katika kuongeza kipato cha mtu mmojammoja na mapato ya Halmashauri ya Busokelo na Taifa kwa ujumla kwa kuhamasisha na kuanzisha mashamba ya miti kwa ajili ya biashara.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE SEMINA NAFASI YA WAANDISHI WASAIDIZI NA BVR December 19, 2024
  • ORODHA YA MAJINA YA AKIBA NAFASI YA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI December 19, 2024
  • TANGAZO BARAZA LA MADIWANI April 27, 2021
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MKATABA June 10, 2021
  • Onesha Vyote

Habari Mpya

  • BLAC MAENDELEO YAHITIMISHA MAFUNZO KWA WAKAZI WA WILAYA YA RUNGWE

    May 02, 2025
  • CHANJO YA POLIO KUTOLEWA MEI MOSI

    April 16, 2025
  • KAMATI YA SIASA YAPONGEZA MIRADI

    April 15, 2025
  • MIKOPO YA ASILIMIA KUMI YAWANUFAISHA WANANCHI

    April 07, 2025
  • Onesha Vyote

Video

Vivutio vya Utalii
Picha Mjongeo Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
  • TAMISEMI

Vinganishi Linganifu

  • OR TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Ufundi
  • Sekretarieti ya Ajira Utumishi wa Umma

Kipimo cha Wateja Duniani

world map hits counter

Wateja Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB

    Sanduku la Posta: Box 148

    Simu: 025 255 2586

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Huruhusiwi
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa